World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hakuna neno, ila itakuwa bomba sana kama hizi mechi zote zilizobaki zikapigwa kwa 120 minutes kisha matuta maana ile tension na excitement yake usiombe. Unatamani ukiimbie TV huku unataka kuangalia ili kujua kitakachojiri lol!!! πŸ™‚πŸ™‚

leo BAK,kama kulia tutalia wote na kucheka pia tutacheka wote.
 
France vs Germany saa 1 jioni
Colombia vs Brazil saa 5 usiku

Thanx mkubwa,ngoja ninoe macho kabisaaa Leo nakula mapema na mzinga wangu wa nyagi kitaeleweka tu.viva German.
 
everlenk , wapi my dear, bado uko barabarani?

Nakusubiri huku mpendwa soccer bila team mate halinogi.
 
Last edited by a moderator:
Leo Brazil wajiandae kisaikolojia tu,

leo nashabikia weusi wa ulaya,kina Pogba pia Brazil.
 


Hakika leo timu Jogoo itawika mara tatu kabla Malafyale na wenzake hawajaikana ujerumani na kujiunga timu jogoo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…