World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

2398958_big-lnd.jpg
 
Mkuu Ujerumani na Brazil nusu fainali

Nakataa ila kama ikiwa hivyo basi Germany atapata wasaa mzuri wa kujilipizia kisasi cha 2002 kwa kushusha kipigo cha mbwa mwizi. My hope is that Germany anakutana na Colombia nusu fainali.
 
Ingawa naona wengi wanatupa karata yao kwa roho ya paka (Germany), ndoto zangu zinasema wanabeba mabegi kurudi n'mbani usiku huu. Ingawa sipendi watoke maana mashindano yatadorola, France watapooza huko mbele.
 
Huyu "shabiki jina" katka hili tangazo la Coca Cola si haba.
 
Back
Top Bottom