World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

This is the 18th time #GER have appeared at the World Cup Finals. Only once, in 1938, have they failed to reach at least the QFs
 
Mbona dalili zinaanza kuwa mbaya, inaweza kuwa mechi rahisi kuliko tulivyotegemea. Ile speed ya France iko wapi?
 
Mechi ishakuwa ngumu kwa France!Ndiyo wanafika golini aasa Shehe Benzema kawakosa
 
Sijambo kabisa mwanangu,leo mimi team France,Ila naona Joachim kamuweka Klose anaanza leo,pale Shwain bila kumsahau ozil na ule uzoefu wao,hapa kama vile Germany anapita

hahahahaha mie leo nawashangilia hawa Mercedes-Benz
 
BrthOsLCcAENhDL.jpg
 
Back
Top Bottom