BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hakuna neno, ila itakuwa bomba sana kama hizi mechi zote zilizobaki zikapigwa kwa 120 minutes kisha matuta maana ile tension na excitement yake usiombe. Unatamani ukiimbie TV huku unataka kuangalia ili kujua kitakachojiri lol!!! 🙂🙂
leo BAK,kama kulia tutalia wote na kucheka pia tutacheka wote.