viva Colombia too
Team Germany!
Pole in advance ndugu
Wakoloni leo hao mdogo mdogo wanaingia semi final.
Dk 90 nitakurudishia pole yako!
Mkuu Ujerumani na Brazil nusu fainali
Team France,Japokuwa Wajerumani ndo wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda,any way ndo mpira,hope France watajitahidi kucheza bila kuogopa hawa Wajerumani.
Leo upo na wajerumani?
Dada Bantu lady nadhani Leo typo pamoja
Skype na wewe leo upo columbia enhhh nice:thumbup: tuwashushe mashavu hao wacheza samba #GoTeamColombia