World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Navyomuona Mwalimu Alex Kashasha Wa
T.B.C 1 Ni Mzuri Zaid Kwenye Uchambuz Wa
Soka On the Pitch Kuliko Dr Leaky Ambaye
Ame Base Zaid Kwenye Historia Ya
Wachezaj..Naona Kashasha Anaweza
Kugundua Haraka Madhaifu Ya Team Ndan Ya
Dk 90.
 
Hii mechi haitabiriki ila nawapa nafasi kubwa German kushinda.
 
Navyomuona Mwalimu Alex Kashasha Wa
T.B.C 1 Ni Mzuri Zaid Kwenye Uchambuz Wa
Soka On the Pitch Kuliko Dr Leaky Ambaye
Ame Base Zaid Kwenye Historia Ya
Wachezaj..Naona Kashasha Anaweza
Kugundua Haraka Madhaifu Ya Team Ndan Ya
Dk 90.

Hata vionjo anavyo pia.....alikuwa wapi miaka yote mpaka wale wa mawingu ndio wanaonekana bora?
 
Wajerumani tujuane mapema ili tupeane mioyo,Haya me wakwanza who s next?
 
Hao wote wakoloni,mkoloni yupi sasa anaeingia semi final?

Mimi ninazungumzia wakoloni wetu, waliotutawala Tanganyika .

Na katika hii mechi kuna mmoja tuu ndiye aliyetutawala

Na ndie atakayeshinda hii mechi {Weka kumbukumbu hii post}
 
Mama hujambo? leo timu gani
Sijambo kabisa mwanangu,leo mimi team France,Ila naona Joachim kamuweka Klose anaanza leo,pale Shwain bila kumsahau ozil na ule uzoefu wao,hapa kama vile Germany anapita
 
Sijambo kabisa mwanangu,leo mimi team France,Ila naona Joachim kamuweka Klose anaanza leo,pale Shwain bila kumsahau ozil na ule uzoefu wao,hapa kama vile Germany anapita

Iwaje uchague timu shindwa?unataka kulala na njaa leo...?c'mon Germany!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…