World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ameamini sasa kwanini jose mourinho alikuwa hampangi na watu wakasema anachuki binafsi lakini jana wadau wengi nimeteta nao wanasema jose alikuwa sahihi kabisa casilas ni galasa kwa sasa.
Mkuu MEANDU Cassilas mbovu makosa aliyo yafanya kwenye fainal ya UEFA dhidi ya Atletico kutoKa golini aliya endeleza jana.

Mourinho was so right sema Cassilas ana abudiwa pale hispania na anaonekana ni kipa bora kuliko yeyote yule kumbe hakuna kitu.
 
Last edited by a moderator:
Hili kundi la Colombia,Greece,Japan na Ivory Coast wote kama wanalingana uwezo
 
ROBBEN nuksi sana alikuwa anamgalagaza na kumgeuza IKER CASSILAS wa watu kama mdoli. Na V.Persie ile goli aliotia ya kichwa ni ya hali ya juu.

Uholanzi wazuri ila bado mapema sana kwa sasa kuongea sana ngoja tusubiri kwanza
 
kwa sasa Spain hakuna timu hasa beki 4 na 5 hakuna kabisa yaani ni uchochoro pia bingwa mtetezi kwa miaka ya karibuni huwa havuki makundi,mnakumbuka 2002 France alitolewe kwny makundi,2010 Italy hakuvuka hatua ya makundi.
 
Kwenye kundi ivory coast anafuzu kiulaini sana!

colombia,japan, greese huwa hawatabiriki kabisaa.
hao japan mara nyingine wanapiga mipira utadhani inaongozwa na GPS,
hao greese walichukua kombe la mataifa ya ulaya 2004 hakuna aliyetegemea, watu walijua wangetolewa kwenye mechi za makundi, timu yao haikuwa nzuri
colombia mpira wao unafanana na wa kiafrika, hivyo mechi yao na CIV itakuwa ngumu.
 
kwa sasa Spain hakuna timu hasa beki 4 na 5 hakuna kabisa yaani ni uchochoro pia bingwa mtetezi kwa miaka ya karibuni huwa havuki makundi,mnakumbuka 2002 France alitolewe kwny makundi,2010 Italy hakuvuka hatua ya makundi.

spain wana uwezo wa kushinda mechi mbili zilizobaki katika makundi.
 

mkuu Spain bingwa mtetezi hawezi kuvuka kwny makundi,kwny hilo kundi tayari Holland na Chile wameishafuzu.
 
Nakubaliana nawe but Javi Martinez angeweza kuziba pengo la Alonso ni mzuri sana kucheza mbele ya centre back

jana Xavi na Sergio Bushkt hawakuwa kwny nadhani kocha angewaanzisha Javi Martinez na Koke pia Santi Carzola angeingia kuchukua nafac ya David Silva.
 
ngumu si kiulaini,Colombia wako fiti,Japan huwa wanaattack ile mbaya utawaona,halafu Greece wao wapo fiti kwenye defence
Kundi hili Japan na Ugiriki watafuzu.
 
Leo sijui Nile nini ili niweze kumudu mechi zote
..??
 
ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA ITALIA!FORZA AZZURI!Tunaenda kimya kimya kama kawa,just like old times.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…