Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mkuu MEANDU Cassilas mbovu makosa aliyo yafanya kwenye fainal ya UEFA dhidi ya Atletico kutoKa golini aliya endeleza jana.ameamini sasa kwanini jose mourinho alikuwa hampangi na watu wakasema anachuki binafsi lakini jana wadau wengi nimeteta nao wanasema jose alikuwa sahihi kabisa casilas ni galasa kwa sasa.
Mourinho was so right sema Cassilas ana abudiwa pale hispania na anaonekana ni kipa bora kuliko yeyote yule kumbe hakuna kitu.
Last edited by a moderator: