Huyu "shabiki jina" katka hili tangazo la Coca Cola si haba.
kwa mbali naliona goli la pili linakujaLa 2? Hapana hawa wanatakiwa wabebeshwe furushi 4 kama walizobebeshwa kina ronado mechi yao ya kwanza.
hawa ufaransa hata hawaendi mbali
hizi free kick hizi,:A S-eek:
kwa mbali naliona goli la pili linakuja
Namaanisha wamejitahidi kufika robo fainaliDuh france wamejitahidi wakati ndo kwanza 20mins jamani??,msichoke mapema hvo
La 2? Hapana hawa wanatakiwa wabebeshwe furushi 4 kama walizobebeshwa kina ronado mechi yao ya kwanza.
Duhhh....Huyo Sista anatia huruma masikini....Atakuwa anashabikia Ufaransa