World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi ni timu gani ya EPL walisema wanamtaka Varane? DonDonald,Pazi.
Naona jamaa anazidiwa nguvu kila mara na Hummels, Klose na kuishia kukumbatia.

Hata sijui timu gani inamtaka ila sio ya Chosen One LVG

Hiyo timu haikuwa yenu kweli, maana ni "mwenzenu huyo"

Hata pundits wanasema kijana ni mzuri ila ni nyoronyoro, na nafasi anayocheza hutakiwi kuwa laini haswa ukikutana na watu kama Andy Caroll
 

Beki mwenye goal 2 kuliko defender yeyote yule kwenye michuano hii afu zote assis Kross

Jamaa nilichukia alivyo muacha Gomez ,,,lakini kathibitisha ye mkareee


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Faza klose game imemkataa


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaah,,,,,tusubiri ligi ianze na hasa katika miji ya dar, moro na tanga. Haiwezekani mbeya kukawa na cooling breaks.

kule kutakuwa na warming break yaani watakua wanakoka moto kisha wachezaji wanaenda kuota
 
Na mechi ya Brasil na Chile ndio ilikuwa fainal hizi zilizobaki tunakamilisha ratiba tu
Hii ni big match kwa maneno wala si kwe mchezo, mechi ya Algeria na Germany ndio ilistahili kuwa robo fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…