palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
nadhani kocha wa france alitakiwa kumsabu benzema hayupo mchezoni
kiungo kimekufa ufaransa mipira hapati anasubiri kaunta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani kocha wa france alitakiwa kumsabu benzema hayupo mchezoni
Hivi ni timu gani ya EPL walisema wanamtaka Varane? DonDonald,Pazi.
Naona jamaa anazidiwa nguvu kila mara na Hummels, Klose na kuishia kukumbatia.
hahahaha no comment
Hahahaaah,,,,,tusubiri ligi ianze na hasa katika miji ya dar, moro na tanga. Haiwezekani mbeya kukawa na cooling breaks.
naunga mkono hoja... . sijui baadae yuko team gani
Hii ni big match kwa maneno wala si kwe mchezo, mechi ya Algeria na Germany ndio ilistahili kuwa robo fainali.
Kina Malinzi wanaweza kuweka cooling breaks hata km mvua inanyesha.......chezea soka mipango?
Klose atasubiri kumvuka the Real Ronaldo...
success=skills + lucky
Nadhani Kocha wa france alitakiwa kumsabu benzema hayupo mchezoni
ndio hivyo. Hata hii mechi tunashinda
Safi sana kiungo mkimbizaji anaingia kwa #teamgermany