World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mbona kila timu ninazoshabikia zinatoka?

mkuu, siku nyingine shabikia usiyoipenda, matokeo yatakuwa mazuri upande wako.
Katika zimu ambazo sipendi zichukue ubingwa mojawapo ni Germany.
 
Laana ya Samir Nasri kwa Didier Deschamps...!

Na waliotolewa mapema ni laana ya nani?

Kufungwa ni sehem ya mchezo na lazima mshindi apatikane

Kilichowaponza France waliingia uwanjani kwa kutegea ili wajerumani wachoke. Cha ajabu mungu kawasaidia bidii yao ikazaa goli

hayo ya laana ni imani potofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…