Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
haya bhana tutaletaeana mrejesho jf but lala ukijua kwamba wazee wa samba kwa teamgermany hawana nafasi mkuu!
sijui kapotelea wapi everlenk leo.. hope baadae tutakua nae pamoja
asante sana
asante sana
Karibu mkuu
Kwa upendo mkubwa nawaombeni sala zetu tuzipeleke kwa Brazil. Mwenzenu ndio roho yangu miaka yote, halafu ndio.........
#teamBrazil #
#teamsambaboyz #
nilitamani sana wabaguzi ujerumani waondoke
Mechi za leo..
Group E vs Group G.
Group A vs Group C
Mshindi wa grupu G kashamtoa mshindi wa grupu E, Je mshindi wa grupu C anaweza kumtoa mshindi wa grupu A?