World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tusubiri miaka kama 10 tutaona hawa ballboys katika timu za ulaya kama sio timu ya Taifa ya Brazil... Bonge la goli by Luiz. Mabest friend wamefunga magoli katika mechi moja.

Huyu mshikaji aliyebeba watoto ni nani?
 
Hawa walima na wauza sembe wakipaniki na kutaka kushambulia sana ili warudishe magoli, watapigwa mvua...
 
Nilisema toka zamani colombia ndani ya dk90 atakuwa amefungashiwa virago raia kibao wakabisha!
 
Tatizo la Colombia Wameiga the Physical game la Brazil, wangekuja na game plan tofauti labda wangekuwa na chance.
 
Dah Luiz leo atalala anaota hilo goli mbonge la goli
 
Tusubiri miaka kama 10 tutaona hawa ballboys katika timu za ulaya kama sio timu ya Taifa ya Brazil... Bonge la goli by Luiz. Mabest friend wamefunga magoli katika mechi moja.

Eeeh mkuu jamaa leo wamefurahi sana mtu na mshkaji wake sema huyo mwingine silva ndio kauzu hachekagi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…