Hili group kama Ivory coast ikikaza itaongoza hili group.
Wasilete ukameruni tuu.
Cote de Voire HAMFUNGI Colombia wala Greece na asipopata point leo kwa Japan anaondoka Brazil bila point yeyote!Colombia ataongoza kundi hili maana foward yao ina akili sana!!
What? Kuna mchezaji wa Colombia ana miaka 48 au nimesikia vibaya?
Ivory Coast wakishindwa kusonga mbele toka hili group itabidi wafungiwe kuingia World Cup milele. Nadhani Japan atashinda hili group. Ebana Colombia kama Waafrika huyu Ibarbo(Caligliari-Serie A) nilidhaniaga ni mpopo.
Nasubiri mechi ya Belgium.
.
Tusubiri tuone ndugu zetu wataanzaje.
Greece wapo sawa kumbe watachomoa tu..
Colombia unawafahamu mkuu?