Duh na mgongo unavouma niulize mie.. unaweza nyanyua miguu unahisi kama kama kiuno linatengana na mwili
He is very sorry too...but thats the game, he missed you alot! Hope to be there tomorow for #team netherlands
Wajukuu wa hitler wanamtoa nishai, final hafiki huyu!
Ukilinganisha na timu nyingine zilizoingia 8 bora, Col ilikuwa team nzuri kiasi kwamba ilistahili kufika finali...
Fainali ya Brazil na Argentina inanukia...!
Wapi!!! Siku hiyo ndio litachezwa samba uwanjani Wajerumani watabaki kutafutana uwanjani.
I will be there as usual....
pass my regards to him mie ngoja nilale na machungu yangu
Yaani hii ikitokea nitafurahiaje? Yaan tutapata soka zuri sana maana kila mmoja atapenda kumuonyesha mwenzie kwmb yeye ni zaidi, na hizi nchi kisoka zina uhasama mkubwa sana.
Yaani hii ikitokea nitafurahiaje? Yaan tutapata soka zuri sana maana kila mmoja atapenda kumuonyesha mwenzie kwmb yeye ni zaidi, na hizi nchi kisoka zina uhasama mkubwa sana.