BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
LoL!!! Hahahahaha nakumbuka banaaaa jinsi ulivyokuwa ukilalama.
Duh na mgongo unavouma niulize mie.. unaweza nyanyua miguu unahisi kama kama kiuno linatengana na mwili