World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mkuu umefafanua vizuri sana, binafsi nimekuelewa na iwe fundisho kwa marefa wote watakaochezesha mechi zilizosalia.
 
Mkuu umefafanua vizuri sana, binafsi nimekuelewa na iwe fundisho kwa marefa wote watakaochezesha mechi zilizosalia.

Kwa kweli match ya jana niliangalia kwa hasira sana, baada ya match ya Chile, Scolari alisema wamekuwa wema sana kwa wapinzani wao wanahitaji kuwa "aggressive" kidogo kwa hiyo ile ya jana ilikua ni maelekezo rasmi ya kocha wao. Wamecheza faulo tu na magoli ya kuungaunga, team nzima ilikua inamwogopa Rodriguez, ila aliyeniuzi sana ni kile kirefa.
Brazil’s victory over Colombia was overshadowed by a crazy foul count of 51 – 31 of which were committed by the hosts and it seemed Fernandinho’s sole instruction was to ensure James Rodriguez spent as much time on the ground as possible.

The farcical scenes in Fortaleza could have been avoided by a yellow card, but the referee instead elected to continuously err on the side of caution. Granted players go down to easily, but if fouls are being awarded then it means the official has spotted an infringement and should take action. Sort it out, ref(s).
 
Scolari the worse coach kabisa ever!! Anaacha wachezaji wazuri anachukua fred na hulk

The king.
Fred, Jo na Hulk ni mizigo kabisa! Angemchukua hata Coutinho wa LFC au yule dogo mwingine wa PSG anaitwa Lucas Moura...yaani ni jembe la ukweli.
 
embu nipe ratiba nami nipange mambo yangu maana hapa nimeshavurugwa hata nimesahau zinaanza timu gani?

Argentina vs Belgium 1900hrs EAT

Holland vs Costa rica 2300hrs EAT

Very sorry for late majibu niko mbarabara wangu.
 
Argentina vs Belgium 1900hrs EAT

Holland vs Costa rica 2300hrs EAT

Very sorry for late majibu niko mbarabara wangu.

Asante wangu,ngoja nami nifanye yangu nijitahidi kuwahi,uwe na safari njema.
 
Tukisema brazil inabebwa tunaonekana tunaichukia ila ukweli ndo huo. Brazil hawakustahili kufika nusu fainali kwa mchezo mbovu waliouonyesha jana.
 
Tukisema brazil inabebwa tunaonekana tunaichukia ila ukweli ndo huo. Brazil hawakustahili kufika nusu fainali kwa mchezo mbovu waliouonyesha jana.

Kukosoa sio kuchukia, anayesema hivyo anaogopa kukosolewa na hapo hata hatujaliongelea swala la red card aliyopaswa kupewa kipa wa Brazil.
 
Kukosoa sio kuchukia, anayesema hivyo anaogopa kukosolewa na hapo hata hatujaliongelea swala la red card aliyopaswa kupewa kipa wa Brazil.

Mkuu, mimh zamani nilijua haya mambo ya kiswahiliswahili yapo Ghana naNigeria na Cameroon tu kumbe hata huko kwa wenzetu yapo! Upendeleo na ubaguzi vinaharibu ladha ya mashindano.
 
Mkuu, mimh zamani nilijua haya mambo ya kiswahiliswahili yapo Ghana naNigeria na Cameroon tu kumbe hata huko kwa wenzetu yapo! Upendeleo na ubaguzi vinaharibu ladha ya mashindano.

Match ya jana ndio ilikua na faulo nyingi so far kwenye hii WC, anyway hii ilishakwisha na wazee wa mbeleko wajiandae VYEEMA kukutana na Ujerumani, kama ni mieleka waliyomchezea jana Rodriguez na Cuadrado basi wakajifue hasaa.

Nasubiria at least one more surprise kwenye mechi za leo, nitakua upande wa the underdogs siku hii ya leo.
#TeamCostaRica #TeamBelgium
 
Hapo kwa mkoloni mbona hata ngumi zitapigwa! Hawataki mambeleko ya ajabu ajabu safari hii mkoloni analipa kisasi cha 2002, yetu macho.
 
siwaelewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapo kwa mkoloni mbona hata ngumi zitapigwa! Hawataki mambeleko ya ajabu ajabu safari hii mkoloni analipa kisasi cha 2002, yetu macho.

Mkoloni ndio ana kikosi chenye wachezaji wakubwa kwa wastani kuliko teams zote, kwa hiyo kina Fernandinho, Gustavo na Luiz kama watacheza mieleka yao kama ya jana wakashinde gym mpaka jumanne.
Tukija kwenye soccer hii team ya mkoloni imekomaa na imeiva kuliko wazee wa mbeleko, sijui watafurukutia wapi, labla kama kawaida yao, kwa mpuliza kipyenga!
 
Mpuliza kipyenga naye akileta hizo mambo atasababisha wazee wa mbeleko watinge fainali kwa ushindi wa mezani huku yeye akipelekwa matibabu wakati huohuo mkoloni akifungiwa na fifa kwa muda usiojulijana pamoja na kupigwa faini. Utakua umenielewa nilichomanisha mkuu.
 
Nimezaliwa Dar, Nimesomea Dar, Nimekulia Dar.

Hyo sehemu siijui

Mama yangu, hauko siriazi!!!! basi we geti kali, kiwanda cha Pepsi unakijua? ile barabara ya kwenda airport ushawahi kupita kwa daladala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…