Ila faulo alizochezewa Rodriguez hazikua za kitoto? Brazil na refa wao waliyataka haya wenyeweee, Rodriguez kila akishika mpira hasa kipindi cha kwanza anakutana na daruga za Fernandinho na Silva ila kirefa kama hakioni vile na Rodriguez ndio mchezaji bora wa mashindano haya mpaka match ya jana lakini hakupata protection ya aina yeyote kutoka kwa refa
Huyo mtoto mlaini kaguswa kidogo na WC imeisha. Mnachokoza ugomvi na hamjui kukwepa wala kurusha makonde?! Sasa jiandaeni na kiboko cha mkoloni, hakuna Silva, hakuna Naima
Mkuu umefafanua vizuri sana, binafsi nimekuelewa na iwe fundisho kwa marefa wote watakaochezesha mechi zilizosalia.