World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwanini hupendi ataje timu yake? Mwache awe huru ili tujuane nani mwenzetu na nani mpinzani wetu.
Tangu mashindano haya yaanze timu ninazoshabikia zinafungwa, ndio maana wenzangu wanaona nina nuksi.
 
Tangu mashindano haya yaanze timu ninazoshabikia zinafungwa, ndio maana wenzangu wanaona nina nuksi.

Kushabikia timu si lazima ishinde, kushabikia ni pamoja na kuvutiwa na ujuzi wa timu na uwezo wake pia japo ushindi huleta burudani zaidi si lazima. Mpira una matokeo ma3, kufunga, kufungwa na sare. Ukielewa hilo soka ni burudani kubwa kwako au unasemaje mkuu?
 
Kwanini hupendi ataje timu yake? Mwache awe huru ili tujuane nani mwenzetu na nani mpinzani wetu.
Akitaja na km ww unahsabikia hio .....andika majanga!bora uzime TV mana matokeo yanajulikana....
 
Matokeo mataamu zaidi ni hayo ya kwanza.....Kufunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…