Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
kwa hiyo pale wanapopandia mwewe (ndege) bado kufika......?yaani hata kupokea mgeni....?
Sijawahi mkuu, ila nilifikaga KIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo pale wanapopandia mwewe (ndege) bado kufika......?yaani hata kupokea mgeni....?
Tangu mashindano haya yaanze timu ninazoshabikia zinafungwa, ndio maana wenzangu wanaona nina nuksi.Kwanini hupendi ataje timu yake? Mwache awe huru ili tujuane nani mwenzetu na nani mpinzani wetu.
Mkuu ukimpata unialike na mimi...!
Jana tu kiasi nilipata ushindi mechi ya pilihahahahaha pole sana. siku hazifanani..
Jana tu kiasi nilipata ushindi mechi ya pili
Asante ila najua baaadaye utashabikia #teamholland
Belgium leo wanapiga mtu ndani ya 90
Belgium leo wanapiga mtu ndani ya 90
Tangu mashindano haya yaanze timu ninazoshabikia zinafungwa, ndio maana wenzangu wanaona nina nuksi.
Hahahahaaah......mkuu leo sina timu, maana naona nina nuksi kila timu ninayo shabikia inafungwa.
c.c: Heaven on Earth, DonDonald.
Labda Messi awe kaumia asicheze
Akitaja na km ww unahsabikia hio .....andika majanga!bora uzime TV mana matokeo yanajulikana....Kwanini hupendi ataje timu yake? Mwache awe huru ili tujuane nani mwenzetu na nani mpinzani wetu.
Afadhali leo wewe kuwa mshabiki huru, tuuchie sisi tuzipe tafu #TeamZetu
Kushabikia timu si lazima ishinde, kushabikia ni pamoja na kuvutiwa na ujuzi wa timu na uwezo wake pia japo ushindi huleta burudani zaidi si lazima. Mpira una matokeo ma3, kufunga, kufungwa na sare. Ukielewa hilo soka ni burudani kubwa kwako au unasemaje mkuu?
Akitaja na km ww unahsabikia hio .....andika majanga!bora uzime TV mana matokeo yanajulikana....
Belgium leo wanapiga mtu ndani ya 90
Nntakutafuta dk ya 80...kazi yao itakuwa imeshakwisha hawa....