Ha! Pole hata JKINA hujatia maguu? Natamani nijitolee nikutembeze jaman!! Hapo vingunguti ndo mahakama ya mbuzi ilipo.
FIFA sijui wanatumia vigezo gani kupanga marefa. Timu kutoka UEFA (Belgium) inapambana na timu kutoka CONMEBOL (Argentina) halafu refa anatoka UEFA (Italy). Kwanini asitoke kwingine ... North America, Africa, Asia ...?
Kuna jamaa kafanana na nyoshi el saadat mchezaji wa ubeligiji hahaha kweli duniani wawili
Huyo anaitwa Fellain
Tumefungwa goli la 1 hapa daa uzembe wa mabeki
Tupo sana mkuu