Greece warudi kujenga majengo.
mechi ya mateja na mabaharia kali sana.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL]
Dah,mkuu we acha tu!wengine wetu kuwepo home mida hii ni kama bahati.hata weekend huwa tunapitia yale makandokando ambayo tunabanwa kuyafanya katikati ya wiki.si unajua bongo hii?
Mnacheza lini nyie?
Mabingwa wa 2018-2022 tutacheza jumatatu mechi ya tatu vs Ghana