World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Greece warudi kujenga majengo na kuwa mabaharia. Leo Wazamiaji wakiswahili walio Ugiriki itabidi wawe kimya wasipigwe mawe kama miaka ile ya recessions.
 
Colombia atawapiga wote ktk kundi hili!Waliobaki watawania nafasi moja iliyobaki!Greece wanaweza vuka pia
 
Tatu bila wanasubiri mechi nyingine, Wagiriki waende wakaandae falsafa.
 
Dalili zinaonyesha Italy itafanya matusi yaliyofanywa na wauza na walimaji unga muda si mrefu.
 
Dah,mkuu we acha tu!wengine wetu kuwepo home mida hii ni kama bahati.hata weekend huwa tunapitia yale makandokando ambayo tunabanwa kuyafanya katikati ya wiki.si unajua bongo hii?

Yasijekuwa mamichepuko tu Mkuu

Leo tutamkosa Buffon Mkuu wangu, kuna shida?
 
Back
Top Bottom