Sure, why not?
Lakini so far sijaona kiwango wala lile samba la kibrazil kuniconvince otherwise, team inacheza ikimtegemea sana Neymar, huruma za marefa na undava kama jana
Ujerumani so far wamequalify kutoka kwenye kundi gumu na wamekutana na mitahani miwili mitatu mpaka sasa, lakini wameweza kuhold their nerves na kupata matokeo bila kutumia dark arts kama Brazil
naona kila mtu hapa messi kweli kijana ni noumer
from now on, nipo timu yoyote inayocheza against german.
tuta-bet mechi yao inayofuatia, siku hiyo nitakuwa brazil.
sa hivi kasema hana timu yoyote.......
And Di Maria indeed goes off. Enzo Perez coming on to replace him on the right wing.
Messi awekwe Eda km Neymar akose michuano yote...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Nitatangaza mapeeema, mara baada ya fainali ya pili.Adai anasubiri fainali itanibidi nimuwahi tu maana kismati chake si kizuri
Hawa waarjentina wanafungika kabisa.