World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sure, why not?
Lakini so far sijaona kiwango wala lile samba la kibrazil kuniconvince otherwise, team inacheza ikimtegemea sana Neymar, huruma za marefa na undava kama jana
Ujerumani so far wamequalify kutoka kwenye kundi gumu na wamekutana na mitahani miwili mitatu mpaka sasa, lakini wameweza kuhold their nerves na kupata matokeo bila kutumia dark arts kama Brazil

Una chuki sana na brasil lakin ndo timu itakayobeba ndoo hili na wamefika hapo kwa nguvu zao binafsi bila kubebwa na white pig hao watakalia 3 au zaid.
 
And Di Maria indeed goes off. Enzo Perez coming on to replace him on the right wing.
 
Belgium akitaka apate walau goli...aache soka la kilatini acheze la ulaya,hii mipira ya kupenyeza hawezi kuwafunga Argentina
 
Back
Top Bottom