Samahani na Mie pia sina Kama kunamtu anasema amuwekee.Ha ha haa!hili ni jibu muafaka kwa Kitoabu,ila sijui kama amekuelewa.mheshimiwa Pazi haya mautundu ya mapicha sina,kama wewe unayo,hebu naomba muwekee Kitoabu picha za vikosi vya kombe la dunia vya Algeria(from Africa) na Belgium(europe),halafu atuambie katika mechi hiyo atashabikia timu gani!please,weka picha ili watu wamwelewe EMT.,ha,ha,haa!kitoabu umeshikwa pabaya mnoo!nakusubiri nione utachomokea wapi!jf bhana raha sana!
Itakuwa mechi ya upande mmoja
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamGhana]#TeamGhana [/URL]
Tuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.
England haivuki raundi ya pili. mark my words.#TeamEngland kumbe ni wengi ...... safi sana
England haivuki raundi ya pili. mark my words.
Anaanza kupigwa game ya leo na Italy, then atapigwa na Uruguay kabla hajadroo na Costa rica na hapo ndipo safari yake itatimia.
Yasijekuwa mamichepuko tu Mkuu
Leo tutamkosa Buffon Mkuu wangu, kuna shida?
Hivi kwanini TBC wasinipe tenda ya kuwa mchambuzi wao? Nia ninayo, Sababu ninayo bila kusahua Uwezo lukuki nilionao.
Kulaleki inaelekea Wataliano wana ubaguzi kuliko Wajerumani hasa inapokuja swala la Mweusi(Baloteli) kuvaa jezi ya Azzuri.
Kha na wewe pia??? Ninayahifadhi maandishi yako ili usije ukakana
England ni timu kubwa na itadhihirisha hivyo kwa kumgonga Italy leo
Wewe timu gani kwanza ? tujuane
#TheMightyTeamEngland
englad 2 Italy 4
utani pm
Tofautisha kati ya ligi ya England na timu ya Taifa ya England. ni vitu viwili tofauti.Kha na wewe pia??? Ninayahifadhi maandishi yako ili usije ukakana
England ni timu kubwa na itadhihirisha hivyo kwa kumgonga Italy leo
Wewe timu gani kwanza ? tujuane
#TheMightyTeamEngland
Mnacheza lini nyie?