World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ha ha haa!hili ni jibu muafaka kwa Kitoabu,ila sijui kama amekuelewa.mheshimiwa Pazi haya mautundu ya mapicha sina,kama wewe unayo,hebu naomba muwekee Kitoabu picha za vikosi vya kombe la dunia vya Algeria(from Africa) na Belgium(europe),halafu atuambie katika mechi hiyo atashabikia timu gani!please,weka picha ili watu wamwelewe EMT.,ha,ha,haa!kitoabu umeshikwa pabaya mnoo!nakusubiri nione utachomokea wapi!jf bhana raha sana!
Samahani na Mie pia sina Kama kunamtu anasema amuwekee.
 
Tuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.

zile za kwetu africa ball control hakuna ndio manainakua vituko kwa colombia ball control ipo ivyo wako poa unapotaka kucheza anaoanao lazima ball control iwepo kinyume chake cheza mpira wa ulaya pasi nyingi kutafuta nafasi
 
Hivi kwanini TBC wasinipe tenda ya kuwa mchambuzi wao? Nia ninayo, Sababu ninayo bila kusahua Uwezo lukuki nilionao.
 
Kulaleki inaelekea Wataliano wana ubaguzi kuliko Wajerumani hasa inapokuja swala la Mweusi(Baloteli) kuvaa jezi ya Azzuri.
 
England haivuki raundi ya pili. mark my words.
Anaanza kupigwa game ya leo na Italy, then atapigwa na Uruguay kabla hajadroo na Costa rica na hapo ndipo safari yake itatimia.

Kha na wewe pia??? Ninayahifadhi maandishi yako ili usije ukakana

England ni timu kubwa na itadhihirisha hivyo kwa kumgonga Italy leo

Wewe timu gani kwanza ? tujuane

#TheMightyTeamEngland
 
Yasijekuwa mamichepuko tu Mkuu

Leo tutamkosa Buffon Mkuu wangu, kuna shida?

daah,hapana mkuu!Namuheshimu Mungu wangu aliyenifikisha hapa nilipo, anionaye kila niendako,aliyenipa watoto wazuri sana na mama yao.Najiheshimu mwili wangu na sioni ni jambo zuri uguswe na kugusa just any woman.si jambo la heshima.michepuko sio dili kabisa mkuu na nawaasa wapendao hayo wafikirie kwa kina!Buffon ni pigo zito mkuu.
 
Hivi kwanini TBC wasinipe tenda ya kuwa mchambuzi wao? Nia ninayo, Sababu ninayo bila kusahua Uwezo lukuki nilionao.

Share utaalamu wako wa kuchambua soka na sisi Members wa JF ili tunufaike
 
Hivi Tanzania kwa nini hawaonyeshi mechi yetu na croatia,huu ni uonevu
 
Samahani na Mie pia sina Kama kunamtu anasema amuwekee.

mkuu Mourinho naomba niwekee hapa picha za vikosi vya world cup hii vya Algeria na Belgium hapa sasa hivi,please,nataka kumshika mtu uchawi!
 
Last edited by a moderator:
Kha na wewe pia??? Ninayahifadhi maandishi yako ili usije ukakana

England ni timu kubwa na itadhihirisha hivyo kwa kumgonga Italy leo

Wewe timu gani kwanza ? tujuane

#TheMightyTeamEngland
Tofautisha kati ya ligi ya England na timu ya Taifa ya England. ni vitu viwili tofauti.
By the way ukiacha timu za Africa, pia naisapoti Netherland na germany kwa mbaaali.
 
mkuu Mourinho naomba niwekee hapa picha za vikosi vya world cup hii vya Algeria na Belgium hapa sasa hivi,please,nataka kumshika mtu uchawi!

ImageUploadedByJamiiForums1402771684.518849.jpgImageUploadedByJamiiForums1402771707.091561.jpgImageUploadedByJamiiForums1402771718.818541.jpgImageUploadedByJamiiForums1402771793.027956.jpg

Mkuu nimejitahidi kwa kutumia simu na hizo, kama vipi tuombe msaada wa Mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom