Hivi nyie wenzetu mnatazama mpira upi?
Hivi nyie wenzetu mnatazama mpira upi?
Hujaacha tu kushabikia team zinazotolewa
Germany hapiti kwa Brazil,wazee hao wanatumia uzoefu,ngoja wakutane na Talents!Kama ujerumani watashinda nusu fainali, watachukua hili kombe. waholanzi wanaonekana kucheza kwa ku-push, move plans hazionekani.
Hivi nyie wenzetu mnatazama mpira upi?
Hivi nyie wenzetu mnatazama mpira upi?
messi sio zaidi ya maradonna, na haitakuja kuwa hivyo kamwe. Kama unaongelea mafanikio ya Barca angalia kwenye timu messi anasaidiwa na kina nani halafu angalia maradonna alikuwa anasaidiwa na kina nani.
Kwa jinsi kiwango cha soka kilivyoshuka, maradonna yule ungemuweka leo kwenye kikosi hikihiki cha argentina argentina wangechukua kombe hili. Messi hachukui hili kombe.
Holland huwa ana gundu na penalties kama wakienda extra time...!
Angalia pia Argentina ya 1986-90 iliyompa umaarufu Maradona ilikuaje!Angalia pia magoli yake alifungaje!!
Messi yupo pekee yake lkn team anaipeleka nusu fainali!Maradona alikuwa na mafundi kama Cannigia;Valdano na Cabesona huku golini akiwa hana wasiwasi maana yupo Neil Pompidou!
Maradona alienda kwa pesa nyingi mno Napoli aliwapa ubingwa mara moja tu no Champion League wala Uropa!!Messi akibeba kombe hili atakuwa kabeba kila kombe kubwa duniani!Hizo ni fact sio blah blah