World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama ujerumani watashinda nusu fainali, watachukua hili kombe. waholanzi wanaonekana kucheza kwa ku-push, move plans hazionekani.
 
Finnal n brazil na Argentina/costa rica

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Costa Rica wamekaza kinoma...na wakiwagonga kamoja tu hawa Holland kwishney.
 
messi sio zaidi ya maradonna, na haitakuja kuwa hivyo kamwe. Kama unaongelea mafanikio ya Barca angalia kwenye timu messi anasaidiwa na kina nani halafu angalia maradonna alikuwa anasaidiwa na kina nani.
Kwa jinsi kiwango cha soka kilivyoshuka, maradonna yule ungemuweka leo kwenye kikosi hikihiki cha argentina argentina wangechukua kombe hili. Messi hachukui hili kombe.

Angalia pia Argentina ya 1986-90 iliyompa umaarufu Maradona ilikuaje!Angalia pia magoli yake alifungaje!!Angalia assist za mtaalam Buruchaga!!

Messi yupo pekee yake lkn team anaipeleka nusu fainali!Maradona alikuwa na mafundi kama Cannigia;Valdano na Cabesona huku golini akiwa hana wasiwasi maana yupo Neil Pompidou!

Maradona alienda kwa pesa nyingi mno Napoli aliwapa ubingwa mara moja tu no Champion League wala Uropa!!Messi akibeba kombe hili atakuwa kabeba kila kombe kubwa duniani!Hizo ni fact sio blah blah
 
Angalia pia Argentina ya 1986-90 iliyompa umaarufu Maradona ilikuaje!Angalia pia magoli yake alifungaje!!

Messi yupo pekee yake lkn team anaipeleka nusu fainali!Maradona alikuwa na mafundi kama Cannigia;Valdano na Cabesona huku golini akiwa hana wasiwasi maana yupo Neil Pompidou!

Maradona alienda kwa pesa nyingi mno Napoli aliwapa ubingwa mara moja tu no Champion League wala Uropa!!Messi akibeba kombe hili atakuwa kabeba kila kombe kubwa duniani!Hizo ni fact sio blah blah

Hakika!
Umemsahau na Buruchaga!

Kikosi cha akina Diego Armando Maradona kilikuwa kikali mno siyo kama hiki cha akina Messi.
 
Back
Top Bottom