World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


sasa tupo page moja. hadi hapo umekubali kiwango cha soka kimeshuka, umekiri kulikuwa na mafundi enzi za maradona. pamoja na hayo bado maradona alikuwa superstar wao.
Hivi ungemshusha Messi huyu na mpira wake huu kwenye timu aliyokuwamo maradona angeonekana ni star? angefunikwa vibaya mno, tena ingewezakana angekaa bench au asiitwe kabisa timu ya taifa.
 
hawa costa rita inabid tuwachape ndani ya 90 mana joto wanaliweza wao
 
hawa costa rita inabid tuwachape ndani ya 90 mana joto wanaliweza wao
 

Mkuu!
Argentina ile hata huyu Chuji wetu au John Bocco angeonekana mtaalam tu!Unacheza na Burruchaga;Cannigia;Valdano;Cabesona ni vipi using'ae?

Messi anacheza na madudu matupu akina Lavezzi
 
Mwangalieni huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Unamtoa mchezaji anayelindwa na mabeki 2?Unawapa sasa nafasi Holland waende wengi mbele kusaidia mashambulizi
 
Haya Malafyale ulisema Messi lazima atupie .... hakuweza

Ukasema kuwa Campbell lazima awalize ... huyo mpaka wamemtoa hajatupia

Who next?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…