Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia pia Argentina ya 1986-90 iliyompa umaarufu Maradona ilikuaje!Angalia pia magoli yake alifungaje!!Angalia assist za mtaalam Buruchaga!!
Messi yupo pekee yake lkn team anaipeleka nusu fainali!Maradona alikuwa na mafundi kama Cannigia;Valdano na Cabesona huku golini akiwa hana wasiwasi maana yupo Neil Pompidou!
Maradona alienda kwa pesa nyingi mno Napoli aliwapa ubingwa mara moja tu no Champion League wala Uropa!!Messi akibeba kombe hili atakuwa kabeba kila kombe kubwa duniani!Hizo ni fact sio blah blah
Bado sana kwa Costa Rica kuweza counter attackMkuu ilikuwa nyie ndiyo muanze kuachia ahahahaah
hawa costa rita inabid tuwachape ndani ya 90 mana joto wanaliweza wao
Wakuu Baridi ni kali mno Arusha...Duhhh...
sasa tupo page moja. hadi hapo umekubali kiwango cha soka kimeshuka, umekiri kulikuwa na mafundi enzi za maradona. pamoja na hayo bado maradona alikuwa superstar wao.
Hivi ungemshusha Messi huyu na mpira wake huu kwenye timu aliyokuwamo maradona angeonekana ni star? angefunikwa vibaya mno, tena ingewezakana angekaa bench au asiitwe kabisa timu ya taifa.