World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu Martins Indi wa Holland ana sura ngumu kama aliyokuwaga nayo Michael Reiziga pia wa Holland...WC 1998 France.
 
Kumbuka mechi iliyopita ulisema una uhakika wa 100% Messi atatupia, ila sikuona

Sasa unataka kumponza Campbell

Cc Katavi

Messi leo bahati mbaya tu mbona aliisha watoka dakika ya 86 kipa akacheza!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na nithamu yao hawa costa rica naona wanataka 120 au penat
 
Mwangalieni huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Unamtoa mchezaji anayelindwa na mabeki 2?Unawapa sasa nafasi Holland waende wengi mbele kusaidia mashambulizi

Kachemsha sana hapo...angemuacha tu dogo coz anytime anyhow angeweza kufanya mambo kwa mashuti yake.
 
Mnakumbuka bbc,skysports, Daily Mail,Daily star, The Sun, The Guardian walitabiri England watabeba kombe mwaka huu na Rooney atakuwa star wa World Cup?
 
dah... nimeangalia game zote za Brazil tangu kuanza kwa kombe la dunia na baadhi ya mechi za kombe hili.... katika tazama yangu yoote ya hili kombe la dunia ama kwa kidhungu tunasema word cup sijaona beki wa kumpambanisha na Thiago Silva

ni miongoni wa mabeki bora sanaa kutokea katika karne hii na ndo maana nasema siishabikii brazil namshabikia Thiago Silva
 
Mnakumbuka bbc,skysports, Daily Mail,Daily star, The Sun, The Guardian walitabiri England watabeba kombe mwaka huu na Rooney atakuwa star wa World Cup?
Hahaha ,hivi tb joshua nae ametabiri nani anaondoka na ndoo
 
Wadutch leo kimyaa mtaani! Maana leo tungeshaamshwa usingizini na honi zao na mafataki... this day, Go Costarica goooooo
 
Mechi hii Holland unashindwa kuimaliza hadi dakika hii ya 80?Sasa ndiyo utamfunga kweli Argentina?
 
Costa Rica watafungwa kwa kukosa uzoefu wa mashindano makubwa.. Nawaona kama vile wamechoka na hawana plan mpya wanacheza kumaliza game tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…