palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
mechi ya wanaume hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwangalieni huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Unamtoa mchezaji anayelindwa na mabeki 2?Unawapa sasa nafasi Holland waende wengi mbele kusaidia mashambulizi
Inasoma minus ngapi?Wakuu Baridi ni kali mno Arusha...Duhhh...
yeye anawafahamu wachezaji wake
Mwangalieni huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Unamtoa mchezaji anayelindwa na mabeki 2?Unawapa sasa nafasi Holland waende wengi mbele kusaidia mashambulizi
Kakosea kwa hili!Utaona vyombo vya habari vitakavyo mzodoa wakitolewa
Mnakumbuka bbc,skysports, Daily Mail,Daily star, The Sun, The Guardian walitabiri England watabeba kombe mwaka huu na Rooney atakuwa star wa World Cup?
Hahaha ,hivi tb joshua nae ametabiri nani anaondoka na ndooMnakumbuka bbc,skysports, Daily Mail,Daily star, The Sun, The Guardian walitabiri England watabeba kombe mwaka huu na Rooney atakuwa star wa World Cup?
Costa rica wamebana kinoma!