Jamani embu funganeni bana mambo gani ya kuongeza dakika? Robo fainali hii mambo ni dk 90 tu adolay upo wapi??
Mnakumbuka bbc,skysports, Daily Mail,Daily star, The Sun, The Guardian walitabiri England watabeba kombe mwaka huu na Rooney atakuwa star wa World Cup?
Dah......huu Mpira usiende extra time
Costa Rica watafungwa kwa kukosa uzoefu wa mashindano makubwa.. Nawaona kama vile wamechoka na hawana plan mpya wanacheza kumaliza game tu.
Germany hapiti kwa Brazil,wazee hao wanatumia uzoefu,ngoja wakutane na Talents!
Daaah RVP !!!