World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani embu funganeni bana mambo gani ya kuongeza dakika? Robo fainali hii mambo ni dk 90 tu adolay upo wapi??
 
Last edited by a moderator:
Counter waachie wenyewe


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Germany hapiti kwa Brazil,wazee hao wanatumia uzoefu,ngoja wakutane na Talents!

Talent zipo Brazil aka America ya Kusini,Ulaya wamejifunza mpira huko wanajitahidi kuwa advanced lakini hawawezi kupita kipaji halisi hata siku moja,Brazil atapita tu hata kwa fitina!!!
 
holland hijawahi kushinda mechi yoyote ile katika historia yao ilipoenda dk 120. wameshawahi kwenye mara 4 dk 120 na kufungwa zote
 
Back
Top Bottom