World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Costa Rica wanasumbua mahakama tu lakini kifungo kiko palepale

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha tu...hao walikuwa wanaume wa soka na shoka pia.
Itabidi kuwe na thread ya historical games za WC za zamani.
 
America ya kusini nao huwa wana technology ya kuruka na fagio usiku wa manane.
 
Holland hawajawahi kushinda match ambayo inaenda hadi Extra Time.
Wakishinda leo ndio inakuwa mara ya kwanza katika WC
 
Holland hawajawahi kushinda match ambayo inaenda hadi Extra Time.
Wakishinda leo ndio inakuwa mara ya kwanza katika WC

Historia hizo kama unavyoona England alivyo chukua WC

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…