World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii post kila nikiweka inaondolewa !
... nadhani kuna haja ya kuweka utaratibu wa kupost kuhusu mechi zinazocheza wakati husika badala ya kuunganisha WC in general.
Ni ujinga !
 
waholanzi wasipomaliza kabla ya dk 120, wanapoteza hii mechi.
 
Refa ameanza kuwatafutia Holland goli...ile faul Diaz mpira umempiga bega tena kwa nyuma eti hand ball!
Upuuzi.
 
Dah,mida mibovu hii,ngoja nikalale baada ya hii freekick,..moja mbili..blocked!Holland leo sijui!goodnight wakuu.
 
Heko zenu Costa Rica, England,Spain,Italy,Portugal hawakuweza hata kutoka katika group Stage
 
Kipa atoe Taulo golini


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom