World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

chuji, na bocco wangeng'aa wangekuwepo kwenye ile timu? are you serious?
Kumbuka maradona alikuwa habebwi na wale, isipokuwa yeye ndiye aliyekuwa anawabeba wale ma star. Messi hakuna kitu amecheza soka kipindi soka limeenda chini, eti super-stars neymar, CR 7, Rooney, hahahahahaha..........

Ni kufuru kumfananisha Maradona na Messi

Burruchaga na Valdano wame m beba Maradona mara kibao!!Ile Argentina hata Ngassa angetamba kaka

Kumbuka fainali za kombe la dunia 1990 ile 3-2 dhidi ya mkoloni!Messi HANA wasaidizi wazuri wakati Maradona alizungukwa na wataalam kibao
 
haitwi thiago silver anaitwa thiago silva huyu kama umeamjua mda utasema kiwango kashuka unamkumbuka wa ac milan waulize barcelona

AC Milan ndio kila kila kitu katika soka ngazi ya klabu...
 
Duh! 1st corner of the game for Costa Rica on the 116th minute!
 
mzaha mzaha afu tunaona Costa Rica ndani ya Semi final kwa matuta...
 
Burruchaga na Valdano wame m beba Maradona mara kibao!!Ile Argentina hata Ngassa angetamba kaka

Kumbuka fainali za kombe la dunia 1990 ile 3-2 dhidi ya mkoloni!Messi HANA wasaidizi wazuri wakati Maradona alizungukwa na wataalam kibao

sio kweli, data zako unazipika.
Maradonna alitumia uwezo binafsi kuwafikisha pale walipofika, msaada wa maradonna kwenye timu yake ya taifa ulikuwa mkubwa mno kulinganisha na wa messi kwa timu ya Taifa.
Messi 2nd round kabebwa
robo fainali kabebwa.
Kafunga magoli kwenye mechi dhidi ya wajingajinga.
 
ebana hii mechi imeanza kuwa nzuri dakika 30 za nyongeza... Matuta hayooooo yanawadia..Bye Bye #TeamHolland na LVG wenu kajiandaeni kugongwa mengi old Trafford.
 
LOL Holland wanaleta sheria za Chandimu wanamwingiza kipa wanayedhani ataokoa penati, tusubiri tuone...
 
Back
Top Bottom