s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 464
chuji, na bocco wangeng'aa wangekuwepo kwenye ile timu? are you serious?
Kumbuka maradona alikuwa habebwi na wale, isipokuwa yeye ndiye aliyekuwa anawabeba wale ma star. Messi hakuna kitu amecheza soka kipindi soka limeenda chini, eti super-stars neymar, CR 7, Rooney, hahahahahaha..........
Ni kufuru kumfananisha Maradona na Messi
Andate...soka ndo ipo hivyo,huwezi kumfananisha pele na Diego hawakucheza mwaka mmoja...kwa Brazil Pele ni mfalme,kwa Argetina Diego ni king,hawa CR7,Messi,rooney wanacheza pamoja tunaweza kuwapima.....Huyo pele wako au Diego wangefika hadi kipindi hiki pengine wangekuwa km Adelfonce Amilima tu achana na Lunya yule alikuwa na kiwango!