World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wadachi hawajawah kushinda penalt Kombe la dunia........nna mashaka
 
Kazi na dawa.
BrzyhETIIAASyTw.jpg:large
 
Dutch atanyukwa Penalties na watajilaumu,hawa hawakustahili kufikishana nao huku
 
Kuna mtu anaitwa Krul, yeye ni specialist wa kuokoa penati...

Hii game ni balaa aisee...hii speed mtu unaweza kusema po!

Huu ndo mpira acha ile match ya Fance na Germany !poorest match ever
 
Penati hazina ujanja maana kuna wapigaji na wadakaji
 
Arifu utakufa kwa hatred na kihoro!!!

Mkuu mechi iliyopita ya Holland ulitaka waondolewe ili LVG aanze kazi mapema old trafford. Ombi lako litajibiwa muda si mrefu.
 
Costarica haikubahatisha kuwasimamisha Italy,Uruguay,England na Greece!!
 
Andate...soka ndo ipo hivyo,huwezi kumfananisha pele na Diego hawakucheza mwaka mmoja...kwa Brazil Pele ni mfalme,kwa Argetina Diego ni king,hawa CR7,Messi,rooney wanacheza pamoja tunaweza kuwapima.....Huyo pele wako au Diego wangefika hadi kipindi hiki pengine wangekuwa km Adelfonce Amilima tu achana na Lunya yule alikuwa na kiwango!

ingekuwa hivyo Edson Arantes Dos Nascimento asingeitwa mfalme wa soka duniani kwa sababu hajacheza na messi
 
#TeamHolland kila la heri kwenye matuta.
 
adui wakoleo ndio rafiki wa kesho.costa rica wakishinda kwa penat leo ndio nitawashangilia
 
Back
Top Bottom