World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

tatizo kuna uzi kule unajaza nyuzi nyingi mkuu
kila mtu akiandika uzi wake kuhusu mpira itakuaje hapa

ndo maana kuna uzi mmmoja kule
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakifika matuta Holland kwaheri hawa CR ni wazuri sana wa hayo mambo
 
Bila ushabiki wowote huu mpira Holland walitakiwa washinde ila kama ilivyo kwa mchezo wowote ule, bahati nayo ina nafasi yake!
 
ImageUploadedByJamiiForums1404598808.953573.jpg
Teh teh teh teh nimehamia Costa Rica aisee...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu!
Argentina ile hata huyu Chuji wetu au John Bocco angeonekana mtaalam tu!Unacheza na Burruchaga;Cannigia;Valdano;Cabesona ni vipi using'ae?

Messi anacheza na madudu matupu akina Lavezzi

chuji, na bocco wangeng'aa wangekuwepo kwenye ile timu? are you serious?
Kumbuka maradona alikuwa habebwi na wale, isipokuwa yeye ndiye aliyekuwa anawabeba wale ma star. Messi hakuna kitu amecheza soka kipindi soka limeenda chini, eti super-stars neymar, CR 7, Rooney, hahahahahaha..........

Ni kufuru kumfananisha Maradona na Messi
 
tatizo kuna uzi kule unajaza nyuzi nyingi mkuu
kila mtu akiandika uzi wake kuhusu mpira itakuaje hapa

ndo maana kuna uzi mmmoja kule

Sisemi kila mtu awe na uzi wake.
Ila at least kila mechi iwe na uzi.
 
Back
Top Bottom