wakuu mi naona kitumbua kimeingia mchanga
tupen update
na costa rica wana historia gan wcHolland hawajawahi kushinda match ambayo inaenda hadi Extra Time.
Wakishinda leo ndio inakuwa mara ya kwanza katika WC
Brazil Bingwa,good night,naogopa kuangalia mwishoni
Kalala saa nying soka siyo favourite yake yy muziki tena ngwasuma ,kajitahidi kunipa kampani weee nikamuonea huruma ikabidi nikamlaze kiutu uzima.
Team uholanzi mpo?
na costa rica wana historia gan wc
Kama kuna uchawi kwenye mpira Costa Rica hawashikiki
hahahahhaaah mahaba nininginizee
vipi hawa wa dutch ilikuaje wakawafunga spain 5 aiseeempira dakika 90