Costarica tunashinda
Nakuunga mkono mkuu.Hakuna haja wala umuhimu wa kufungua mabandiko mapya kwa kila mechi...
....mnashinda na njaa!
Haya wakaanga sumu, mmemuona LvG alivyo master tactician? He did it with Huntelaar, he has done again with Krul..he has the guts to make bold decisions...jiandaeni kwa maumivu #teamWakaangaSumu
Krul famba kweli, ina maana alichoelewa toka Academy ni kuokoa penati tu, mambo mengine aliondoka na F. LVG lazima atamleta old Trafford.