World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haki imetendeka acha wanaojua wasonge mbele, Argentina kazi wanayo.
 
Haya wakaanga sumu, mmemuona LvG alivyo master tactician? He did it with Huntelaar, he has done again with Krul..he has the guts to make bold decisions...jiandaeni kwa maumivu #teamWakaangaSumu
 
Krul famba kweli, ina maana alichoelewa toka Academy ni kuokoa penati tu, mambo mengine aliondoka na F. LVG lazima atamleta old Trafford.
 
I Salute You Mr. Van Gaal!
Br0KoiVCYAA9uF-.jpg:large
 
Haya wakaanga sumu, mmemuona LvG alivyo master tactician? He did it with Huntelaar, he has done again with Krul..he has the guts to make bold decisions...jiandaeni kwa maumivu #teamWakaangaSumu

August ifike haraka tuanze kuheshimiana mtaani

Ila tuwasifu Costa Rica kwa hatua waliofanikiwa kufikia kwenye mashindano haya
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom