wakuu goli la tuta linahesbiwa kwenye ufungaji bora?
HAwajui brazil waliopita huyu! hajui kwa nini mpaka watu wasiokuwa washabiki wa mpira walishabikia mpira!Hukuwahi kuwaona kina Juniour Bayano,Caecer Sampaio na Carlos Dunga
Ndiyo,goal ni goal tu
Brazil yupo pia Hulk wakuu au hamjamwona
James wa Colombia anamagoal 6thanks mkuu, kwa hiyo mpaka saiv nani anaongoza kwa magoli kwenye hili kombe?
wakuu goli la tuta linahesbiwa kwenye ufungaji bora?
Hahahahahaha lol!!! kiitishwe kikao cha #TeamBrazil ili kumomba Mkuu Katavi ahamie kambi nyingine, vinginevyo imekula kwetu.
Kwangu mimi naona hivi
1.Emanuel Neuer- Germany
2.Aurier Serge-Ivory Coast
3.Daley Blind- Holland
4.Mats Hummels -Germany
5.Vicent Kompany- Belgium
6.Gustav -Brazil
7.Robben- Holland
8.Paul Pogba -France
9.James Rodriguz -Colombia
10.Leone Messi- Argentina
11.Angel De maria-Argentina
Brazil ikishinda siangalii fainali
Naunga mkono hoja.
hahahahaaah,,,,,,,jamani acheni unyanyapaa.