World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Katika list zenu kusipokuwepo majina ya Alexis Sanches, Lionel Messi na Neymar..they are all invalid.
 
Kwangu mimi naona hivi
1.Emanuel Neuer- Germany
2.Aurier Serge-Ivory Coast
3.Daley Blind- Holland
4.Mats Hummels -Germany
5.Vicent Kompany- Belgium
6.Gustav -Brazil
7.Robben- Holland
8.Paul Pogba -France
9.James Rodriguz -Colombia
10.Leone Messi- Argentina
11.Angel De maria-Argentina

sawa kaka ila wasiwasi wangu ni hapo kwenye centre beck thiago na luiz wameonyesha uwezo wa hali ya juu xana ukirefer game ya brazil na colombia au unaomaje mkuu
 
agentina kombe ndio anabeba lionel messi ndio siku hiyo mtamjua yee ni nani anahakikisha anavunja record zote
 
Hahahahahaha lol!!! kiitishwe kikao cha #TeamBrazil ili kumomba Mkuu Katavi ahamie kambi nyingine, vinginevyo imekula kwetu.

hahahahaaah,,,,,,,jamani acheni unyanyapaa.
 
Last edited by a moderator:
lol!!! Hahahahahaha hatukunyanyapai Mkuu, bali ulitamka mwenyewe kwamba kila timu unayotaka ishinde tangu World Cup ianze ilishindwa, hivyo ndio maana wapenzi na washabiki wa #TeamBrazil tuna wasiwasi kwamba ile trend ya kila timu uliyoichagua kushindwa itaendelea tena kwenye semi finals, hivyo badilisha kambi uhamie #TeamGermany 🙂🙂 tunakuomba.

hahahahaaah,,,,,,,jamani acheni unyanyapaa.
 
Back
Top Bottom