Kinachofanyika hapa kwa maneno machache ni Great Germany anaua kasi yote ya Brazil....,watachoshwa zaidi na kuongezwa goli linguine halafu wazee wazima wanashusha nanga chombo kinatulia.....BRAZIL OUT!
Ebana kwa kweli sijui nipo upande gani. Tangu mwanzoni mwa mashindano nilikuwa German, leo kama roho inataka Brazil washinde vile vile jinsi Brazil walivyoanza hii mechi wapo kama Kuku aliyekatwa kichwa