World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kinachofanyika hapa kwa maneno machache ni Great Germany anaua kasi yote ya Brazil....,watachoshwa zaidi na kuongezwa goli linguine halafu wazee wazima wanashusha nanga chombo kinatulia.....BRAZIL OUT!
 
Mkuu leo upo upande upi ?

Ebana kwa kweli sijui nipo upande gani. Tangu mwanzoni mwa mashindano nilikuwa German, leo kama roho inataka Brazil washinde vile vile jinsi Brazil walivyoanza hii mechi wapo kama Kuku aliyekatwa kichwa
 
That was Thomas Müller's 5th goal of the tournament which equals his tally from South Africa 2010. He is now 1 goal behind James Rodriguez
 
Brazi 1-1 German dk 20, leo nawatajia magoli kabla hayafungwa. So far nimeshapatia goli la kwanza la Ujerumani.
 
Back
Top Bottom