World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sijui nchi ya Brazil itakuwaje baada ya kipigo hiki,
 
Nilikuwa natamani sana Germany ashinde lkn sio hivi dk 30...5-0?wanaharibu hata raha ya nusu fainali
 
kwa walio wahi kucheza mpira inapo tokea hali kama hii mnapigwa 5-0 dk 30 za awali inakuaje? si unataman utoke uwanjani?
 
Leo majerumani yanajivunjia rekodi hapa...majanga...inakuwa kama ni mazoezi na siyo mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia..#wtf
 
Huyu kipa leo kawaje jamani, hi defence leo ni hatari sana
 
Duh hii ni zaid ya aibu hawa wajeruman watafunga goli zaid ya 5



Wayafunge tu hayo mabrazil Na bado Argenitina Na wao wapigwe tu!

Mpira uko ulaya bhana sio America
 
Hamna hata haja ya kuendelea na hii gemu. FIFA wapitishe sheria timu ikishapigwa magoli matano kabla ya half time gemu inaisha papo hapo.
 
Kwa herini najipiga ban mwenyewe kwa muda wa masaa kadhaa.
 
Hata Ghana waliwatoa kamasi nyembamba hawa Wajerumani Dah!!! Naona leo kuna goli 10 au hata zaidi....Dah!!!!
 
brazil hakuna zonal marking kabisa. kesho maandamano kama kawa mitaaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…